The House of Favourite Newspapers

MAJONZI: Alivyoagwa Mama Aliyeuawa na Mfanyakazi wake! – VIDEO

TUNSUME Sakajinga (60), mkazi wa wilayani Mgeninani, Kijichi, Temeke jijini Dar es Salaam ameuawa baada kupigwa na kitu kizito kichwani kisha kuchomwa na mkasi shingoni na mtu anayedaiwa kuwa kijana wake wa kazi za nyumbani.

Tukio hilo lilitokea Jumamosi, Januari 12, mwaka huu nyumbani hapo ambapo marehemu alikuwa akiishi na huyo kijana huyo akimsaidia kazi mbalimbali zikiwemo za nyumbani na shambani.

Comments are closed.