The House of Favourite Newspapers

Makabila ‘Awachezesha Singeli Mashabiki wa Taarabu Dar Live (Video)

0

Msanii wa Singeli, Dullah Makabila, usiku wa kuamkia leo alikuwa kivutio kwa mashabiki wa taarab waliofika katika shoo ya usiku wa taarab ukumbi wa Dar Live.

Msanii huyo akiwa na wacheza shoo wake waliwainua mashabiki waliokuwepo ukumbini hapo na kuanza kucheza kwa mzuka.

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

Leave A Reply