The House of Favourite Newspapers

MAKAMPUNI YA SIMU NCHINI YAMESAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI

0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati) akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw.Ian Ferrao (kulia) wakisaini mkataba wa kusambaza mawasiliano ya simu kwa kujenga miundombinu maeneo ya vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.

 

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati) akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw.Ian Ferrao, wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.
Leave A Reply