The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Pili wa Rais wa Z’bar Azindua Matumizi ya Taa za Uwanja wa Mkwakwani Tanga

0

 

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleimani Abdullah akizungumza jambo katika hafla hiyo wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba,  Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga Ndugu Rajabu Abdulrahman na Mbunge Wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

 

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleimani Abdullah amezindua matumizi ya Taa za Uwanja Wa Mkwakwani Tanga Jana tarehe 04 Feb 2023 usiku katika maazimishonya Miaka 46 ya kuzaliwa CCM. Katika kuazimisha Huko Wapinzani wa Jadi Wa Tanga, Wagosi wa Kaya, Coast Union na Wana Kimanumanu African Sport zimechuana katika kuboresha Sherehe hizo.

Katika tukio hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rajabu Abdulrahman na Mbunge Wa Tanga na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu  pamoja na viongozi wengine na wapenzi wa soka.

Leave A Reply