Makamu Wa Rais Alivyowasili Nyumbani Kwa Marehemu Edward Lowassa – Picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewafariji waombolezaji mbalimbali wakati alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa Masaki Jijini Dar es salaam tarehe 11 Februari 2024.