The House of Favourite Newspapers

SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mpunga na kuzalisha mchele cha Murza Wilmer East Africa Miller Ltd kilichopo mkoani Morogoro leo Agosti 07, 2019, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.
…Akipata maelezo kutoka kwa Meneja Ufundi wa kiwanda hicho,  Vaidya Subramaniam.
Muonekano wa kiwanda cha Murza Wilmer East Africa Miller Ltd.

 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Comments are closed.