The House of Favourite Newspapers

VIDEO: DIAMOND Apanda na HAWA Stejini, Waimba ‘NITAREJEA’

MSANII na gwiji wa muziki wa Bongo Fleva ambaye ni CEO wa kundi la Wasafi (WCB) Diamond Platnumz, amewafanyia sapraizi mashabiki wake wa jijini Dodoma katika tamasha la Wasafi Festival kwa kupanda jukwaani na mwanamuziki Hawa, ambaye aliimba naye wimbo wake wa ‘Nitarejea’.

Comments are closed.