Samia Azindua Nanenane Simiyu — (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akilihutubia taifa kwenye sherehe ya uzinduzi wa Maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima — Nanenane — kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu wa Nanenane ulikwa “Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi; Chagua Kiongozi Bora 2020”.

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 1, ameshiriki katika maadhimisho ya sherehe za maonyesho ya wakulima, wafugaji na wavuvi, (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika Kanda yaZziwa Mashariki katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.

…Akizindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uongezaji wa Virutubisho katika matumizi ya mazao ya chakula.

…Akimkabidhi mwongozo huo Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.

…Akimsikiliza Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo (TARI) Mlingano, Dkt. Catherine Senkoro, alipokuwa akimuelezea kuhusu utafiti wa mazao ya aina mbalimbali ya kilimo alipotembelea banda hilo.

…Akifungua rasmi maonyesho hayo.

…Akiwa amevutiwa na bidhaa maridhawa za kilimo.

…Akiangalia baadhi ya bidhaa za aina mbalimbali za kilimo. Kulia ni Waziri wa Kilimo,  Japhet Hasunga.

Toa comment