The House of Favourite Newspapers

MAKAMUZI YA WAZEE WA NGWASUMA

Mnenguji wa FM Academia, Asha Said ‘Sharapova’ akiimba badala ya kunengua.
Wanenguaji wakiwa kazini.
King Blaise akiwajibika jukwaani.
Wazee wa Ngwasuma kazini.

Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye Ukumbi wa The Jonz uliopo Magomeni Mwembe Chai jijini Dar. Katika onesho hilo Wazee wa Ngwasuma waliwanogesha mashabiki wao kwa nyimbo mpya na zilizowahi kutamba kama vile Dunia kigeugeu, Anna na nyinginezo.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL 

Comments are closed.