The House of Favourite Newspapers

MAMA ASHURA: Kwani KIBA Ndiyo Nani… Asiambiwe? – (Video)

Usiku wa Desemba 15, 2017, katika ukumbi wa MLIMANI CITY, Jijini Dar es Salaam, kulifanyika uzinduzi wa filamu kubwa ya ‘FROM NIGERIA’, kutoka katika Kampuni ya JUMO ENTERTAINMENT, uzinduzi huo ulihudhuriwa na wasanii wengi kutoka katika tasnia mbalimbali, wakiwemo wachekeshaji wanaounda kundi la TIMAMU, Ebitoke, Mama Ashura na Bwana Mjeshi.

 

Katika mahojiano yake na Global TV, Mama Ashura ambaye kwa mara kadhaa amekuwa akimkosoa staa wa Bongo Fleva, Ally Kiba ‘King Kiba’, kutokana na kazi yake ya muziki, amesema kuwa hata kama akizindua wimbo wake, bado atahudhuria na atamkosoa vilevile, huku akidai kuwa hamjui mchekeshaji, Mkali Wenu ambaye waliwahi wakifanya kazi kwa pamoja.

VIDEO: MSIKIE MAMA ASHURA HAPA

Comments are closed.