The House of Favourite Newspapers

MAMA Asimulia Sakata la Mwanae Kupotea ‘Kichawi’ – PART 1

MAMA wa Mtoto Beauty ambaye alipotea na baadae kuonekana amesimulia kisa cha Mtoto wake huyo alivyopotea mpaka kupatikana katika mazingira ya kimazingara (uchawi).

Mama Beauty amesimulia mwanae alivyoibiwa na Dada anyezaniwa kuwa ni mchawi ambaye alimchukua mtoto huo kwaajili ya kafara na kudai kuwa ametumwa.

Mama huyo ameeleza jinnsi alivyosikitishwa kuibiwa kwa mtoto wake katika mazingira ya kanisani na kuwataka watu kama hao kuangalia ubinadamu.

VIDEO: MSIKIE MAMA HUYO AKIANIKA

Comments are closed.