The House of Favourite Newspapers

MAMBOSASA Alivyonasa Wezi Mafuta ya Transfoma – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum Kanda ya Dar es Salaam, Mambosasa amesema jeshi hilo limefanikiwa kuunasa mtandao wa wezi wa mafuta ya transfoma za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao wamekuwa wakiiba mafuta hayo kwa ajili ya kutengenezea oil fekin za injini, tofauti na tetesi zilizokuwa zikitolewa kuwa ni kwa ajili ya kupikia chips.

VIDEO: MSIKIE MAMBOSASA AKIFUNGUKA

Comments are closed.