The House of Favourite Newspapers

Man U Mazoezini Miami Baada ya Kupigwa na Liverpool

Manchester United's touring squad trained in Miami on Sunday following defeat by Liverpool

BAADA ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Liverpool, katika michezo ya kimataifa iliyofanyika huko Michigani, Marekani,  wachezaji wa Manchester United jana walianza mazoezi huko Miami, Florida,  nchini humo ambako wako katika ziara ya kucheza soka kabla ya kuanza kwa ligi kuu ya Uingereza.

Jose Mourinho put his players through their places in the wake of the 4-1 loss in Michigan

Summer signing Fred was among the squad members who trained in Florida on Sunday

Comments are closed.