The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Mama Shigongo, Wawasili Nyumbani Nyakato – Mwanza (VIDEO)

MWILI wa marehemu mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Bi. Asteria Kahabi Kapela iumewasili nyumbani kwake Nyakato, Mecco jijini Mwanza leo Jumatatu, Julai 30, 2018 ukitokea jijini Dar es Salaam ambako umauti ulimkuta.

Baada ya kufikishwa nyumbani hapo, mwili wa Bi. Asteria Kapela umefanyiwa maombi nyumbani kwake hapo kisha kuagwa na ndugu jamaa na marafiki na baadaye kupelekwa katika Kanisa Katoliki la Familia Takatifu, Nundu jijini humo kwa ajili ya maombi na kuagwa.

      

 

TAZAMA MWILI WA MAMA SHIGONGO ULIVYOWASILI NYUMBANI MWANZA NA KUFANYIWA IBADA

Comments are closed.