The House of Favourite Newspapers

Man U Yawanyamazisha Chelsea, Stamford Bridge

Ross Barkley akishangilia baada ya kuisawazishia Chelsea dakika ya  96 kipindi cha pili.
Wachezaji wa Manchester United wakishangilia.

TIMU ya Chelsea imenusulika kichapo kutoka kwa Manchester United baada ya Ross Barkley kuifungia  Chelsea bao la kusawazisha dakika  ya 96 na kupelekea timu yake kutoka na sare ya bao 2-2 katika Uwanja wa  Stamford Bridge.   Mabao yaMan Utd  yamewekwa kimiani na Anthony Martial  dakika ya 55 na  73 huku  mabao ya Chelsea yakiwekwa kimiani na  Rudiger dakika ya 21 na Ross Barkley dakika ya 96.

Chelsea (4-3-3): Arrizabalaga; Azpilicueta, Rudiger, Luiz, Alonso; Kante, Jorginho, Kovacic (Barkley 69); Willian (Pedro 75), Morata (Giroud 79), Hazard.

Subs not used: Caballero, Fabregas, Zappacosta, Cahill.

Scorer: Rudiger (21), Barkley (96)

Booked: Rudiger, Hazard

Manager: Maurizio Sarri

Manchester United (4-2-3-1): de Gea; Young, Lindelof, Smalling, Shaw; Pogba, Matic; Rashford (Sanchez 85), Mata (Herrera 75), Martial (Pereira 84); Lukaku

Subs not used: Romero, Bailly, Fred, Darmian.

Scorer: Martial (55, 73)

Booked: Matic, Young, Mata, Sanchez

Manager: Jose Mourinho

 

Comments are closed.