The House of Favourite Newspapers

MAN UNITED YAFANYA KWELI, YASHINDA 3-0, POGBA, LUKAKU WANG’ARA

Romelu Lukaku akishangilia.

Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ iliendelea usiku wa jana ambapo wababe kutoka Jiji la Manchester, timu ya Manchester United walipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stoke City.

Wachezaji wa Man Utd wakishangilia baada ya kufunga bao la pili.

Wakicheza kwa mara ya kwanza tangu walipotpka kambini Dubai, Manchester United walicheza soka safi na kufanikiwa kupata ushindi huo kwa mabao yaliyofungwa na Antonio Valencia, Anthony Martial na Romelu Lukaku.

 

Katika mchezo huo, kiungo Paul Pogba alionyesha soka zuri na kutoa pasi mbili za mwisho zilizozaa mabao mawili ya awali.

Antonio Valencia akishangilia.

Ushindi huo umeifanya United kupunguza pointi kutoka pointi 15 na sasa kuwa 12 kati yao na vinara wa ligi hiyo, Manchester City.

MANCHESTER UNITED (4-1-4-1): De Gea 6.5; Valencia 7, Smalling 6, Jones 7, Shaw 6.5; Matic 6.5; Mata 6, Pogba 8, Lingard 6.5 (Fellaini 80), Martial 7 (Rashford 80); Lukaku 7.5.

Subs: Lindelof, Rojo, Herrera, McTominay, Pereira.

Goals : Valencia 9, Martial 38, Lukaku 72

Manager – Jose Mourinho 7.5

STOKE (4-2-3-1): Butland 5.5; Bauer 6, Zouma 5, Martins Indi 6, Tymon 5 (Wimmer 46, 6); Allen 6, Fletcher 6.5; Shaqiri 6, Ireland 5.5, Choupo-Moting 6 (Ramadan 60, 6); Crouch 6.5 (Diouf 70, 6).

Subs: Afellay, Adam, Grant, Edwards.

Booked: Ireland

Caretaker manager – Eddie Niedzwiecki 6.5

Referee: Anthony Taylor 7

Star man: Paul Pogba

Comments are closed.