The House of Favourite Newspapers

Manchester United Waipa Kipigo Leicester Old Trafford

0
Kiungo wa Manchester Utd, Marouane Fellaini (27) akimtoaka mchezaji wa Leicester kwenye mchezo wao  wa Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa Old Trafford. Leicester  wamefungwa bao 2-0.
Mshambuliaji wa Man Utd, Lukaku akikosa penalti.
Marcus Rashford akiwa juu akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya Man Utd bao la kuongoza.
Wachezaji wa Manchester wakitoka kumpongeza Rashford  aliye nyuma kabisa kushoto.
Sir Alex Ferguson na Kocha wa zamani wa England, Sam Allardyce wakiongea jambo.
Kocha wa Man Utd, Jose Mourinho.

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amefungia bao la kwanza timu yake dakika ya 70 akimalizia krosi ya Henrikh Mkhitaryan katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leicester City Uwanja wa Old Trafford. Bao la pili la United limefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 82.

MANCHESTER UNITED (4-2-3-1): De Gea 7; Valencia 5.5, Jones 7, Bailly 6.5, Blind 7; Matic 6, Pogba 7; Mata 7 (Rashford 67 6), Mkhitaryan 5.5 (Fellaini 74 6.5), Martial 7 (Lingard 77 7); Lukaku 5.5

Subs unused: Romero, Darmian, Smalling, Herrera

Goals: Rashford 70, Fellaini 82

Booked: Mkhitaryan

LEICESTER (4-4-2): Schmeichel 8; Simpson 5.5, Maguire 7, Morgan 7, Fuchs 6; Mahrez 7, Ndidi 6, James 6.5, Albrighton 6.5 (King 60 5.5); Vardy 6 (Slimani 76 6), Okazaki 6.5 (Gray 60 6)

Subs unused: Hamer, Chilwell, Iheanacho, Amartey

Booked: James

Referee: Michael Oliver 7
Attendance: 75,021

Leave A Reply