The House of Favourite Newspapers

MAPIGO YA LULU, MOBETO NA JOKATE USIKU WA TUZO

TUZO za Sinema Zetu International Film Festival, (SZIFF 2019) zimefanyika Jumamosi iliyopita, Februari 23,  katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam ambapo  mwanamitindo Hamisa Mobeto ambaye pia mzazi mwenzake na mwanamuziki Diamond Plantinum, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo,  walikuwa kivutio walivyotokelezea usiku huo.

 Hamisa Mobeto alivyong’ara usiku huo wa Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF 2019),  katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Jumamosi iliyopita, Februari 23.
…Akiwa katika pozi murua. 
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, alivyodamshi.
…Akiwa katika tabasamu bomba.
Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’,  akipanda stejini ambapo alikuwa mmoja wa washereheshaji (MC) wawili.
…Akijiweka sawa.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.