The House of Favourite Newspapers

Mapokezi ya Nabii Mwanamke Yatikisa Airport DSM – Video

Nabii wa Kimataifa anaejulikana kama Dkt. Lucy Natasha kutokea nchini Kenya, ametua Tanzania kwa ajili ya Semina ya maalum ya Ufufuo (WIKI YA PASAKA) itakayofanyika katika Kanisa la Mlima wa Moto Assemblies of God Mikocheni B Jijini Dar es salaam kwa Mama Mchungaji Kiongozi Dkt. Bishop Getrude Lwakatare.

 

Dkt. Lucy Natasha atashirikiana na Dkt. Lwakatare ambaye ndiye Mwenyeji wake pamoja na Wachungaji Wenyeji wa Kanisa hilo la Mlima wa Moto.

 

Watu wote Mnakaribishwa katika Semina hiyo ili muweze kufunguliwa na kupokea Mafundisho na Maombi yenye Upakako yatakayo haribu na kuvunja nguvu za giza na kuondoa Laana pamoja na vifungo vya aina mbalimbali.

MSIKIE DKT NATASHA

Comments are closed.