The House of Favourite Newspapers

Mapya! Kusah Afunguka Mahusiano Yake Na Moses Iyobo, Atoboa Siri Za Kufanya Kazi Na Maua Sama -Video

0

MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah ambaye ni mpenzi wa muigizaji Aunty Ezekiel leo Julai 6, 2023 amefunguka juu ya manufaa ambayo ameyapata mara baada ya kutoa wimbo wake wa ‘I wish’ ambao ulifanya vizuri ndani na nje ya Tanzania.

Kusah anasema kwamba, mafanikio ambayo aliyapata kupitia wimbo huo yamemfanya aanze kupata shoo kubwa na za kimataifa jambo ambalo kwa sasa limemsaidia kuendesha Maisha yake kwa ufanisi mkubwa ikiwemo kununua gari pamoja na kumjengea mama yake nyumba.

Leave A Reply