The House of Favourite Newspapers

Mapya Yaibuka: Tukio la SunguSungu Kumuua Utingo wa Dangote – Video

0

Siku chache baada ya kutokea tukio la kikatili la sungusungu wa Mtaa wa Goroka A, Kata ya Tuangoma, Kongowe jijini Dar es Salaam kudaiwa kumpiga hadi kumuua utingo wa malori ya Kiwanda cha Saruji cha Dangote, Imani Abdallah Mnyoge mapya yameibuka kuhusu tukio hilo.

 

Mama mzazi wa marehemu, Ashura Kibwana ameeleza kwa kina jinsi tukio hilo lilivyokuwa, huku mjumbe ambaye naye alidaiwa kupigwa hadi kupoteza fahamu, naye ameeleza jinsi alivyokumbana na tukio la kupigwa vibaya na kunusurika kuuawa.

 

Leave A Reply