The House of Favourite Newspapers

Martin Classic x Kusah, Maggie Bushiri – Nipone (Official Music Video)

0

Mrembo kutoka nchini Marekani, Maggie Bushiri pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Martin Classic wametua kwenye ardhi ya Bongo TZ kwa ajili ya kuachia Ep yao ambao wameshirikiana na Kusah.

 

Wakali hao tayari wame drop video yao ya kwanza kutoka kwenye Ep #CoupleEp. Ukiangalia hii video utagundua kitu kilicho jificha baina ya kusah na Aunt. Tayari video ipo kwenye YouTube channel ya #MartinClassic.

ITAZAME HAPA

Leave A Reply