The House of Favourite Newspapers

Marubani wawili wa kike Zimbabwe waweka historia Afrika

0

564b5b646f74facb3e9df377_air-zimbabwe-all-female-flight-cr-courtesyMakapteni wawili wa kike Chipo M. Matimba (kushoto) akiwa na Elizabeth Simbi Petros (kulia) waliruka na ndege aina ya ‘Boeing 737′  kutoka mji mkuu wa nchi hiyo Harare mpaka katika maporomoko ya Victoria.

tumblr_inline_nsjzu1ql4A1siqnoi_540

Ndege aina ya ‘Boeing 737′.

3-Meet-First-All-Women-Flight-Deck-Crew-Who-Made-Zimbabweans-ProudWakiwa kazini wakifanya yao.

12249626_10153321595813940_4534544283184701734_nWakiwa katika pozi.

TMarubani hao wakishare furaha zao kupitia mitandao ya kijamii wa Facebook.

Wiki iliyopita shirika la ndege la Zimbabwe (Air Zimbabwe), lilitengeneza historia mpya duniani kwa kuwa nchi ya kwanza kurusha ndege iliyopo chini ya Uongozi wa Marubani wa kike pekee.

Makapteni wawili wa kike ambao ni Chipo M. Matimba  na Elizabeth Simbi Petros,  waliruka na ndege aina ya ‘Boeing 737′  kutoka mji mkuu wa nchi hiyo Harare mpaka katika maporomoko ya Victoria.

Baada ya kufanikiwa kutua salama, Marubani hao wakaamua ku ‘Share’ furaha zao kupitia mitandao ya kijamii.

Leave A Reply