The House of Favourite Newspapers

Mashabiki wa Yanga Wafurahishwa na Gazeti la Championi – Video

0

MASHABIKI Kindakindaki wa Klabu ya Yanga wameendelea kumiminika kwenye duka la kuuza jezi za timu hiyo ambapo amekutana na kamera za Global Tv Online na kufunguka juu ya mapenzi yao kwa gazeti la Championi na kukiri ni gazeti bora linalotoa habari nzuri za michezo.

 

 

Leave A Reply