The House of Favourite Newspapers

Mashabiki Wajishindia Tiketi Kutoka Spoti Xtra Uwanja wa Mkapa

0
Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony (kushoto) akimkabidhi tiketi msomaji wa gazeti la Spoti Xtra kabla ya kuingia katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za  Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi.

 

Walikabidhi mashabiki ambao walikutwa wakilisoma gazeti hilo katika viunga vya Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

 

…Adam (kushoto) akimkabidhi msomaji Gazeti la Spoti Xtra kabla ya kuingia katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
…Adam (kushoto) akimkabidhi tiketi msomaji wa gazeti la Spoti Xtra.
Ofisa Masoko wa Global Publishers, Songoro Bilal (kulia) akimkabidhi tiketi msomaji wa Spoti Xtra kwa ajili ya kuingilia uwanjani katika sherehe za Wiki ya Mwananchi.
…Msomaji akilisoma gazeti la Championi.

Leave A Reply