The House of Favourite Newspapers

MASKINI: Miaka 20 ya Binti JUDITH Kitandani, Alizaliwa na Sura ya Ajabu!

Binti anayefahamika kwa jina la Judith Mwenye umri wa miaka 20, Mkazi wa Tabata Jijini Dar es Salaam, ambaye anaishi na mama yake Mzazi amezidi kuwa gumzo kutokana na muonekano wake wa ajabu.

Akiongea kwa masikitiko makubwa Mama Judith huku akielezea jinsi alivyotengwa na ndugu zake na ndugu wa marehemu mme wake mara baada tu ya kujifungua mtoto mwenye muonekano wa usio wa kawaida.

Fuatilia kisa hiki kwenye video hii.

 

VIDEO: SHUHUDIA TUKIO HILO

Comments are closed.