The House of Favourite Newspapers

Masogange Akwepa Jela Hukumu Kesi ya Madawa, Alipa Faini – VIDEO

Msanii wa kupamba video za muziki (Video Queen), Agnes Gerald ‘Masogange’ (katikati) baada ya kulipa faini ya Sh. milioni 1.5 na  kukwepa kifungo cha miaka mitatu jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

MSANII wa muziki nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amekwepa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kulipa faini ya Sh. milioni 1.5 kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Masogange alihukumiwa  kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini hiyo baada ya kukutwa  kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya aina ya heroin na Oxazepam.

 

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.