The House of Favourite Newspapers

Mateso Yaliyopitiliza: Miaka 2 Hawezi Kujigeuza, Hasimami Wala Kutembea -Video

0


Zainab Mohamed (27) Mkazi wa Tanga ambaye anasumbuliwa na Kansa ya Titi hali iliyosababisha kwa sasa hana uwezo wa kuinuka, kukaa wala kutembea Zainabu kwa sasa yupo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu lakini ameshindwa kufika Hospitali kutoka na uhaba wa kifedha na inayohitajika ni Shilingi Laki tatu na Sitini (360000) Zainabu ni Mama wa watoto wawili ambaye Mume wake amemtelekeza kutokana na tatizo hilo.

 

NAMBA YA ZAINABU 0652 837297 NAMBA UKIWA NA SHIDA, MATESO 0714 207395

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply