The House of Favourite Newspapers

MATUKIO DUNIANI: WAUGUZI WAGOMA KENYA – VIDEO

Wauguzi nchini Kenya wametoka katika vituo vya vya kufanyia kazi na kuaacha wagonjwa mahospitalini. Mgomo huo umetokana kudai kuongezewa malupulupu yanaoendana na maisha ya sasa. Utata wa Brexit bado waendelea Uingereza Hali ya kutokuwa na uhakika kuhusu Uingereza kuondoka katika umoja wa ulaya imeaanza kugusa wawekezaji.
Kiongozi wa upinzani Zimbabwe asusia mualiko wa Rais Rais wa Zimbabwe amualika kiongozi wa upinzani kujadili Mgogoro wa kiuchumi unaoendelea nchini humo Mafuriko makubwa yatokea Australia Juhudi za uokozi zinaendelea katika mji wa Queensland baada wakuu wa mji huo kufungulia bwawa kubwa la maji kwa hofu ya kufurika na kufunja kingo za bwawa hilo.
Maji hayo yalijaaa baada ya mji huo kupata mvua kubwa kwa siku kadhaa. Papa Francis amefanya ziara maalumu katika falme za kiarabu kwa mara ya kwanza kwa mkuu wa kanisa la kikatoliki ketembelea penisula hiyo ambayo waliowengi ni waumini wa kiisalamu.
Akiwa huko aliwataka waumini na viongozi wa madhehebu.

Comments are closed.