The House of Favourite Newspapers

Matukio Ya Mechi Ya Majimaji, Yanga (Pichaz)

0
Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza dhidi ya Majimaji leo katika Uwanja wa Majimaji Songea. Mchezo umemalizika kwa kufungana bao 1-1.
Kikosi cha timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mcheo wao dhidi ya Yanga.
Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa Majimaji.
Mashabiki wa timu ya Yanga wakiendelea kuangalia mechi wakati wa mchezo. Chini ni Bango la Sokabet
Mchezo ukiendelea.
Mchezaji wa Majimaji akimtoka mshambuliaji wa Yanga Chirwa.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Donald Ngoma (katikati) akiwatoka wachezaji wa timu ya Majimaji.
Mashabiki wa timu ya majimaji wakigombania jezi ya timu hiyo.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakipongezana baada ya kusawazisha bao kipindi cha pili.
Wachezaji wa timu ya Maji maji wakishangilia.
Mshambuliaji wa Majimaji, Jerry Tegete akiongea na mashabiki wa timu hiyo (hawapo pichani).

Timu ya Majimaji leo imewashika shati timu ya Yanga katika Uwanja wao wa nyumbani wa Majimaji mjini Songea kwa kufungana bao 1-1. Mabao yote yamefungwa kipindi cha pili.

PICHA: RICHARD BUKOS/ GPL – SONGEA

Leave A Reply