The House of Favourite Newspapers

Kocha Atangaza Kosi la Maangamizi Taifa Stars -(Video)

0
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga akiongea na wana habari.
…Akiendelea kusoma majina ya wachezaji wake.

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji watakaounda kikosi hicho kipya.

Kwa asilimia kubwa hakuna mabadiliko isipokuwa kipa Peter Manyika wa Singida United ameitwa kikosini hapo kuchukua nafasi ya Said Mohamed Nduda wa Simba ambaye kwa sasa ni majeruhi.

Manyika ni kipa wa zamani wa Simba ambaye aliondoka kikosini hapo baada ya kukosa nafasi na kudaiwa kuwa kiwango chake kilishuka. 

Timu hiyo imeitwa kujiandaa na mechi ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya Fifa ambapo watacheza dhidi ya Malawi mnamo Oktoba 11, mwaka huu. Kikosi kamili kilichoitwa na kocha huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar ni hiki hapa:

Makipa

Aishi Manula

Peter Manyika

Ramadhani Kabwili

Mabeki

Bonifas Maganga

Abdi Banda

Gadiel Michael

Salim Mbonde

Erasto Nyoni

Adeyuni Salehe Arned

Viungo

Himid Mao

Hamis Abdallah

Mazamiru Yassin

Raphael Daud

Simon Msuva

Shiza Kichuya

Ibrahim Ajibu

Morel Ergenes

Abdul Hilal Hasan

Washambuliaji

Mbwana Samatta

Mbaraka Yusuph

==

Na Denis Mtima/GPL

==

VIDEO YA TUKIO

Leave A Reply