The House of Favourite Newspapers

Mazishi Ya Baba Wa GSM: Makamu Wa Pili Wa Rais, Mbunge Zungu, Washiriki -Video

0


Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amezikwa leo jioni kwenye makaburi ya kisutu Dar es salaam, Mzee Said amefariki dunia alfajiri ya leo March 01 2022.

Leave A Reply