The House of Favourite Newspapers

MAZIWA Si Tiba Ya Vidonda Vya TUMBO / Faida Zake Hizi! – VIDEO

KINYUME na dhana iliyozoeleka ndani ya jamii, maziwa ya Ng’ombe hayaponyeshi vidonda vya tumbo, bali huongeza madhara yatokanayo na ugonjwa huo.

Hii ni kwa sababu maziwa huwa na tabia ya kutengeneza aina fulani ya kinga au ukuta (protective coat) kwa vimelea vya Helicobacter Pylori).

Comments are closed.