The House of Favourite Newspapers

Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mkewe kwa Fumanizi

0

PASTORY MAJURA (52) mkazi wa kijiji cha Nyamanga, Ukerewe, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe, Anusiata James (52)  baada kudaiwa ya kumfumania na mwanamume.

Inadaiwa Majura alimpiga mkewe na kitu kizito kichwani wakati  wa fumanizi hilo na yeye kujichoma tumboni na kitu chenye ncha kali lakini alinusurika na atafikishwa mahakamani.

 

Wakati huohuo, vyombo vya usalama mkoani Mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha sikukuu ya Pasaka inasheherekewa kwa amani na utulivu mkoani humo.

Leave A Reply