The House of Favourite Newspapers

Mbunge Aliyetimua ‘MBIO’ Alivyosimama Tena Bungeni “Kuna Hatari” – VIDEO

Mbunge wa Muleba, Dkt Charles Mwijage, ambaye hivi majuzi amegeuka gumzo mitandaoni baada ya kusambaa kwa picha yake ikimuonesha akitimua mbio za kufa mtu Bungeni baada ya kingo’ra ya kuashiria hatari kulia wakiwa katikati ya kipindi cha maswali na majibu.

Mwijage amesimama tena Bungeni kuchangia hoja na kuishauri serikali katika masuala mbalimbali yakiwemo katika sekta ya afya, Elimu, Viwanda na Biashara.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.