The House of Favourite Newspapers

Mbunge Kawawa Apata Ajali

0

MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru akiwa kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Christina Mndeme ambaye ana ziara leo huko Namtumbo, mkoani Ruvuma.

Mbunge huyo na watu wote waliokuwa kwenye gari hilo lililopinduka, wametoka salama.

 

Leave A Reply