The House of Favourite Newspapers

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Awasha Moto Dhidi ya Serikali, Apinga Ufisadi – Video

0
Mbunge wa jimbo la Buchosa, Eric Shigongo

Mbunge wa jimbo la Buchosa ambalo liko wilayani Sengerema, Eric Shigongo ndani ya Bunge la Bajeti katika Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameunga mkono hoja na kuzungumzia suala zima la Kumlinda Mkurugenzi wa Takukuru pamoja na Majaji nchini pamoja na CAG.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

Leave A Reply