The House of Favourite Newspapers

Yanga SC yaibuka Mbabe mbele ya Simba SC kwa Mkapa

0

Wananchi wameendeleza ubabe kwenye ‘Derby’ ya pili ya msimu baada ya kuibuka na ushindi mwingine dhidi ya Watani, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa.

 

FT: YANGA SC 2-1 SIMBA

⚽ Aziz Ki (P) 20

⚽ Guede 37

⚽ Freddy Kouablan 74

 

Wananchi wanakwenda mpaka pointi 12 mbele ya Mnyama wakifikisha alama 58 baada ya mechi 22 huku Wekundu wa Msimbazi wakisalia nafasi ya tatu alama 46 baada ya mechi 2.

Leave A Reply