The House of Favourite Newspapers

Mbunge wa Kwahani, Zanzibar Afariki Ghafla, Wabunge Wamsalia Bungeni – Video

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson ametangaza taarifa za kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kwahani, Zanzibar, Ahmed Abdulwakil aliyefikwa na mauti kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu.

Leave A Reply