The House of Favourite Newspapers

Mbunge wa Moshi Vijijini Mwaka 2005 Dr. Cyrili Chami, Afariki Dunia

0
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kuanzia mwaka 2005 kupitia CCM Dr. Cyrili Chami, amefariki dunia usiku wakuamkia leo Novemba 5, 2020, katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Leave A Reply