The House of Favourite Newspapers

Video: Mbunge Waitara Amwaga Machozi Kisa Mgogoro wa Ardhi, Awahofia Chadema

0

Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amezungumza na waandishi wa habari Mkoani Dodoma ambapo ameshindwa kujizuia na kumwaga machozi kufuatia mgogoro wa ardhi jimboni kwake.

Leave A Reply