The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mbwembwe za Nay wa Mitego Akiwasili Ofisini kwa Mwakyembe, Dodoma

DODOMA: Rapper Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amewasili mjini  Dodoma na kufanikiwa kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa ajili ya kupewa maelekezo ya Rais Dkt. John Magufuli kuhusu wimbo mpya  wa rapa huyo ‘Wapo’ ambao mwanzoni ulidhaniwa kuwa una maneno ya kuikashfu serikali.

TAZAMA VIDEO YA NAY AKIWASILI OFISINI KWA WAZIRI MWAKYEMBE

Comments are closed.