The House of Favourite Newspapers

Meja Jenerali Kisanko Azikwa Dar

0

MEJA JANUARY (1) MEJA JANUARY (2)Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Jenerali Mstaafu, January Claudio Kisanko katika makaburi ya Kinondoni, Dar. MEJA JANUARY (3)JWTZ wakiongoza msafara wa waombolezaji kuelekea makaburini. MEJA JANUARY (4)Brass Band ya JWTZ MEJA JANUARY (5)Picha ya Marehemu Jenerali Kisanko enzi za uhai wake. MEJA JANUARY (6)

Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Robert Mboma (wa pili kulia) akiongozana na Viongozi mbalimbali wa ngazi za juu wa JWTZ pamoja na mke wa marehemu Asteria Kisanko.MEJA JANUARY (7)JWTZ wakitoa heshima za mwisho. MEJA JANUARY (8) MEJA JANUARY (9)Waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni. MEJA JANUARY (10)JWTZ wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu. MEJA JANUARY (11)Padri aliyeongoza ibada ya mazishi, Fr. Edward Matela wa Parokia ya Mt. Bonaventura- Kinyerezi, Dar MEJA JANUARY (12)Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa kaburini. MEJA JANUARY (13)Baada ya Jeneza kushushwa kaburini. MEJA JANUARY (14) MEJA JANUARY (15)Mke wa Marehemu, Asteria Kisanko akiweka udongo kwenye kaburi la mmewe. MEJA JANUARY (16)Watoto wa marehemu wakiweka udongo. MEJA JANUARY (17)Viongozi wa JWTZ wakiweka udongo. MEJA JANUARY (18) MEJA JANUARY (19)Watoto wa marehemu wakiweka mashada ya mauwa. MEJA JANUARY (20)Mke wa marehemu akisaidiwa. MEJA JANUARY (21)Watoto wa marehemu wakiweka shada. MEJA JANUARY (22) MEJA JANUARY (23)Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Robert Mboma akiweka shada.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply