The House of Favourite Newspapers

Meja Kunta Awateka Mashabiki Uwanja wa Mkapa – Picha

0

MSANII Meja Kunta amefanya shoo ya aina yake leo Agosti 22, 2020 Uwanja wa Mkapa Kilele cha Simba Day ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona timu yao dhidi ya Vital’O ya Burundi katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki.

Mashabiki wakiendelea kuangalia shoo ya Meja Kunta.

Leave A Reply