The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Kasino Ushindi Mkubwa na Lucky Dolphin

0

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasino mtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwa Lucky Dolphin.

Lucky Dolphin ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka kwa mtayarishaji mahiri wa michezo ya sloti Platipus. Katika mchezo huu wa sloti, kuna bonasi maalum inakusubiri ambapo unaweza kupitia viwango tofauti. Kiwango cha juu kinakuhakikishia ushindi makubwa.

Mchezo huu wa kasino mtandaoni una nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari 15 iliyowekwa. Ili kupata ushindi, ni lazima ufananishe alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa ule unaohusisha alama za Scatter, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwa mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi mkubwa zaidi kwenye mstari mmoja, utalipwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.

Ushindi unaweza kuongezeka ikiwa utafanikiwa kuunganisha ushindi mistari kadhaa kwa wakati mmoja.

Ndani ya eneo la kubetia kuna menyu ambayo inaruhusu kuweka kiwango cha kubetia kwa kila mstari wa malipo. Kiwango cha dau lako la kubetia kwa mzunguko mmoja unaonyeshwa katika eneo la jumla ya Dau la kubetia.

Vilevile Lucky Dolphin unakupa uwezo wa kucheza miznguko ya kasino mpaka mara 100, kwa kutumia chaguo la Autoplay. JISAJILI NA MERIDIANBET kama bado ufurahie maajabu ya mchezo huu wa kasino mtandaoni.

Jinsi ya Kushinda Sloti Ya Lucky Dolphin

Linapokuja suala la alama za mchezo huu wa Lucky Dolphin, alama za kadi za kawaida zinaleta thamani ndogo ya malipo ikiwemo kadi zifutazo: 10, J, Q, K na A. Pamoja na kwamba kadi hueta thamani ndogo ya malipo kuna kadi ambazo zenye malipo ya juu kidogo kulinganisha na zilizotajwa hapo juu nazo ni Q, K na A.

Alama inayofuata katika suala la thamani ya malipo ni samaki aliyetuna. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 100 ya thamani ya daulako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Alama ifuatayo ni farasi wa baharini (seahorse), alama hii itakuletea ushindi mkubwa ikiwa utaunganisha alama tano za hiikwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 150 ya thamani ya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Alama yenye thamani kubwa zaidi miongoni mwa alama za samaki ni samaki wa dhahabu (goldfish). Ikiwa utaunganisha alama tano za hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 200 ya thamani ya dau kwa mstari wa malipo.

Alama yenye nguvu zaidi inapokuja kwa alama za kawaida ni kasa (Sea turtle). Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 250 ya thamani ya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Alama pori (wild symbol) inawakilishwa na pomboo (dolphin). Alama hii inachukua nafasi ya alama zote za mchezo, isipokuwa alama za scatter, na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Cheza Kasino Mtandaoni hapa, Lucky Dolphin sloti inayokupa urahisi wa ushindi kwa dau lako. Usipoteze muda!!

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave A Reply