The House of Favourite Newspapers

MERIDIANBET YAIBUKA NA PROMOSHENI BABKUBWA MSIMU HUU WA SIKUKUU

0

Meridianbet msimu huu wa sikukuu hawataki wateja wao wakae kinyonge wamekuja na Promosheni babkubwa ambayo itawaondolewa unyonge wateja wake katika msimu huu wa sikukuu.

Kwa wateja wote wa Meridianbet ambao watakua wanacheza michezo ya sloti ambayo ipo ndani ya Kasino mitandaoni watakua na fursa ya kujishindia simu ya Samsung A32 ambayo itatolewa kwa mshindi wa kwanza, Mshindi wa pili atashinda Samsung A23, na Mshindi wa tatu kuwekewa shilingi laki tano ya bonasi kwenye akaunti yake.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

Lengo ni kuhakikisha wateja wao hawakai kinyonge kipindi cha sikukuu ambapo mpaka sasa Promosheni mbalimbali zimeshatolewa, Lakini mara zote Promosheni ambazo hutolewa na kampuni ya Meridianbet kwenda kwa wateja wake hua ni Babkubwa.

Mteja wa Meridianbet atapaswa kucheza michezo ifuatayo ili kuweza kushinda katika promosheni hiyo Battle for the Throne, Book of Egypty, Bounty Hunters, Spinning Biddha, The Book of Eksimo na hii ni baadhi ya michezo hiyo ipo mingi zaidi ya hii ambayo itakwenda  kumpa ushindi mteja wa Meridianbet.

Promosheni hii imeanza mwezi huu wa 12 tarehe 20 ambapo itadumu kwa siku kumi na tatu kwani itafika tamati mwezi wa kwanza tarehe 02 mwaka 2024, Hivo wateja wote watatakiwa kuhakikisha wanacheza kwa wingi michezo ya kasino mitandaoni ndani ya siku hizi ili kujinyakulia zawadi.

Promosheni hii ina vigezo na masharti yake kama ilivyo promosheni zingine ambazo zimekua zikiandaliwa na Meridianbet, Kwanza kabisa unapaswa kua na akaunti ya Meridianbet, Mteja anapaswa kushiriki kupitia akaunti moja,Meridianbet inabakia na haki ya sheria za ofa wakati wowote lakini pia ina uwezo wa kusitisha ofa hiyo.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave A Reply