The House of Favourite Newspapers

Mgogoro Wa Ardhi Wazua Taharukii, Wananchi Wacharuka -Video

0

Innocent Matara, Global TV, Nairobi-Kenya Mvutano ni mkubwa katika mpango wa makazi ya Chepchoina huko Trans Nzoia kwani zaidi ya wakazi 1000 waliofukuzwa wanawashutumu wafanyabiashara kwa madai kwamba wanashirikiana na maaofisa wa wizara ya ardhi kutenga vipande vya ardhi katika eneo hilo kwa wafanyabiashara.

 

Wametishia kutafuta suluhisho la korti ikiwa wizara haitawarudishia ardhi yao.

 

Taarifa hii Na Innocent Matara, Global TV, Nairobi Kenya.

Leave A Reply