The House of Favourite Newspapers

Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli apiga kura Chato

0

 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kupiga kura huko kijijini kwake Chato mkoani Geita leo

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga kura yake

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Joseph Magufuli akikunja vizuri karatasi baada ya kupiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.

Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiweka karatasi kwenye sanduku

Leave A Reply