The House of Favourite Newspapers

Mhariri Kampuni ya Hali Halisi Atembelea Global

Simon Mkina (kulia) akisalimiana na mmoja wa wahariri wakongwe wa Global Publishers, Walusanga Ndaki.  Katikati ni Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally aliyekuwa anamtembeza mgeni huyo.
Wasanifu kurasa wa Global Publishers, Glory Massawe (kulia) na Edna Manyilizu waliotembelewa na Mkina.
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Salehe Ally (katikati) akimtambulisha Mkina kwa Mhariri wa Kitendo cha Global TV Online, James Range.

Mkina na Saleh Ally wakibadilishana mazungumzo.

Saleh Ali akimweleza jambo Mkina wakati akimtembeza kitendo cha magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra.
Mkina akipeana mkono na mkuu wa Kitengo cha Tehama (IT) Edwin Lindege.

Mhariri wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Simon Mkina,   leo  ametembelea ofisi za Kampuni ya Global Group na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo na pia kusema kwamba alifurahi kukutana na baadhi ya waandishi na wahariri aliowahi kufanya nao kazi sehemu mbalimbali.

 

Na Denis Mtima/Gpl.

Comments are closed.