Mhe. Rais Kikwete awaapisha rasmi Mabalozi
Balozi Mwakasege akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mwakasege vitendea kazi |
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mwakasege na familia ya Balozi Mwakasege |
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Bundara vitendea kazi |
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Bundala na familia ya Balozi Bundala |
Balozi Shiyo akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Shiyo vitendea kazi |
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Shiyo na familia yake |
Balozi Kilima naye akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Kilima vitendea kazi |
Mhe. Rais Kikwete (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Kilima na familia yake |
Balozi Mbega naye akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mbega vitendea kazi |
Mhe. Rais Kikwete (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mbega na wanafamilia. |
Balozi Luvanda naye akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Luvanda vitendea kazi |
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Luvanda na familia yake |
Balozi Irene Kasyanju (wa kwanza kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy (katikati) na wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Silima Haji Kombo walipokuwa katika hafla ya uapisho wa Mabalozi na wakurugenzi wapya |
Wakurugenzi wasaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali watu wakifuatilia zoezi la uapisho wa Mabalozi na Wakurugenzi likiendelea |
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Itifaki Bw. James Bwana (kushoto) akimpongeza Balozi Zuhura Bundala (kulia) mara baada ya kuapishwa kuwa Balozi. |
Bi. Mindi Kasiga (kushoto) akimpongeza Balozi Mbega (kulia) mara baada ya kuapishwa kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa |
Juu na chini ni Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakiwasubiri Mabalozi wapya kuwasili Wizarani hapo mara baada ya kuapishwa.
Maafisa Mambo ya Nje wakiwa na maua wakisubiri kuwakabidhi Mabalozi wapya kama ishara ya pongezi na kuwakaribisha Wizarani. |
Sehemu nyingine ya watumishi wa Wizara hiyo wakiwatizama Mabalozi (hawapo pichani) wakiwasili Wizarani hapo mara baada ya kuapishwa Ikulu |
Balozi Mwakasege (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Mambo ya Nje Felista Rugambwa (kulia) |
Balozi Samweli Shelukindo aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika naye akipokea maua kutoka kwa Afisa Mambo ya nje Eliet Magogo, mara baada ya kuwasili Wizarani. |
Balozi Luvanda naye akipongezwa na Balozi Irene Kasyanju mara baada ya kuwasili Wizarani hapo. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.), katikati akipongezwa na Watumisho wa Wizra ya Mambo ya Nje kwa uongozi mzuri katika Wizara hiyo. |
Waziri Membe akizungumza neno huku watumishi wa Wizara hiyo wakimsikiliza. |
Picha na Reginald Philip